Kwenye jumba hilo, Simeone anaishi na mkewe, mrembo matata kabisa, Carla Pereyra, ambaye amepata naye watoto wawili wa kike, ...
NYOTA mpya wa KenGold, Bernard Morrison ‘BM3’, huenda akakosa baadhi ya michezo ya kikosi hicho baada ya kupewa programu ...
BEKI wa kati, Virgil van Dijk amemtaka mchezaji mwenzake kwenye kikosi cha Liverpool, Mohamed Salah kusaini mkataba mpya wa ...
PEP Guardiola amekiri kushindwa kumshawishi gwiji wa Barcelona, Sergio Busquets kwenda kukipiga Manchester City.
BAADA ya kucheza mechi 11 bila ushindi wowote, Mlandizi Queens wiki hii itakuwa ugenini kujiuliza mbele ya JKT Queens.
WINGA wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga katika klabu ya Al Talaba ya Iraq amesema uzoefu alioupata kucheza ligi mbalimbali ...
WIKI iliyopita Singida Black Stars iliripoti kuwa imemuuza mshambuliaji wake Mtanzania Selemani Mwalimu ‘Gomez’ kwenda Wydad ...
MSHAMBULIAJI wa Al Nassr inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Saudia, Clara Luvanga amevunja rekodi ya msimu uliopita wa ...
Staa wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, amekiri kukunwa na kiwango kikubwa cha soka alichonacho kiungo mshambuliaji wa ...
MARCUS Rashford ameripotiwa kukubali kwenda kujiunga na Aston Villa kwa dili la mkopo hadi mwisho wa msimu kwa sababu kubwa ...
MOTO wa kocha Sead Ramovic bado unaendelea kuwachoma wapinzani wa Yanga katika Ligi Kuu Bara baada ya Gusa Achia Twende Kwao ...
OFISA Mtendaji Mkuu wa Pamba Jiji, Peter Juma Lehhet amesema mojawapo ya malengo yake makubwa ni kuhakikisha timu hiyo ya ...