News

Ripoti ya awali ya ukaguzi, kwa mfano inaonyesha kuwa Kenya Power ilishikilia karibu vifaa vya thamani ya shilingi bilioni 9.8 , ikiwa ni pamoja na nyaya za umeme, mita , na transfoma ambazo ...
Uzalishaji wa vifaa vya umeme vinavyotumika katika vifaa kama simu, kompyuta mpakato, na hata magari ya umeme huenda vikawa ghali zaidi hivi karibuni. Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamekabidhi rasmi Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack Vijiji vyote 523 ambavyo tayari ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk.Doto Biteko amesema dhamira ya Serikali ni kutekeleza mradi mkubwa wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (LNG) kutokana na faida zake kiuchumi ila kwa sasa k ...
Wazo hili linahusisha kutumia bidhaa za kila siku kama vifaa vya dharura, kwa kuondoa mipaka ... kwa kuwa vinaweza kutumika maeneo yasiyo na umeme wala gesi. Utafiti uliofanywa na kampuni binafsi ...
Mfululizo wa bidhaa na miundombinu mipya inaendelezwa siku hizi chini ya dhana ya kutumia bidhaa za kila siku kama vifaa vya dharura au ... hadi siku 15 kabla ya umeme, gesi na maji kurejeshwa.