News

Rais mpya wa shirikisho la mpira barani Ulaya, UEFA, Aleksander Ceferini, amezindua rasmi nembo mpya itakayotumika kwaajili ya michezo ya kombe la mataifa Ulaya mwaka 2020, wakati wa sherehe ...
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limetoa orodha mpya ya waamuzi linaowatambua ,Kwenye orodha hiyo kuna jumla ya waamuzi 18 kutoka Tanzania,miongoni mwa waamuzi hao waamuzi 11 wapya na 7 wa zamani.